Ibada Lyrics ibada_lyrics Nimeonja Pendo Lako

Nimeonja Pendo Lako

Lyrics Of The Song Nimeonja Pendo Lako

Song ID 1902

nimeonja pendo lako nimejua u mwema nitakushukuru nitawainua wote wakusifu wewe nitawaongoza vyema waimbe kwa furaha nitakushukuru nitawainua wote wakusifu wewe ukarimu wako na huruma yako msamaha wako na upole wako umenitendea wema usiopimika nitakushukuru nitawainua wote wakusifu wewe kina mama simameni piga vigelegele nitakushukuru na kina baba nyanyuka mkapige makofi nitakushukuru watu wote lesa lesa chezeni kwa furaha inua mikon juu shangilieni Bwana watawa washanglie makasisi waimbe walei warukeruke waseme alleluya vitambaa mikononi vipeperushwe juu na vichwa viyumbe yumbe kwa mwendo wa kuringa nitakushukuru mimi na nyumba yangu yote nitayatangaza haya maisha yangu yote

Nimeonja Pendo Lako.mp3

Nimeonja Pendo Lako.video.mp4 YouTube

 

Hits: 31

Leave a Reply

Related Post