Ibada Lyrics ibada_lyrics Mungu Ulisema

Mungu Ulisema

Lyrics Of The Song Mungu Ulisema

Song ID 2097

Mungu ulisema giza ilikoma twakushukuru twakusihi sote duniani mote na kwa watu wote iwe nuru Yesu ulikuja ulituletea nuru kuu macho kwa vipofu maisha kwa wafu twakushukuru roho kiongozi roho wa mapenzi tia nuru mwovu hata sasa watu huwatosa tunakwomba hasa iwe nuru Mungu wa utatu mwanga wao watu tuwe huru twende kote kote wafundishwe wote duniani mote iwe nuru

Mungu Ulisema.mp3

Mungu Ulisema.video.mp4 YouTube

 

Hits: 4

Leave a Reply

Related Post