Ibada Lyrics ibada_lyrics Wacha Iwe – Basi Wacha Sasa Iwe

Wacha Iwe – Basi Wacha Sasa Iwe

Lyrics Of The Song Wacha Iwe – Basi Wacha Sasa Iwe

Song ID 1135

ringtone kisha shida kwako muwezi pika chunga shida kwako muwezi lala hayo yote ushuhuda Mungu anakutengenezea mwisho ushinde mambo unapitia yanakufanya uzimie yanakufanya we ulie unajiuliza ako wapi huyu Mungu wamuita kila siku huyu Mungu mi najua anasikia huyu Mungu anakupenda wewe sana ila bado mbingu usikia tena bado mbingu itajibu ila bado mbingu uelewa tena bado mbingu itajibu basi wacha sasa iwe vile Mungu anataka iwe mapenzi yake yawe vile anataka yawe gloria kuna wakati mbingu unyamaza kimya kuna wakati Mungu unyamaza kimya unaita ni kama husikiki unabisha wala hufunguliwi unauliza maswali wala hujibiwi ila bado mbingu husikia tena bado mbingu itajibu ila bado mbingu huelewa tena bado mbingu itajibu basi wacha sasa iwe vile Mungu anataka iwe mapenzi yake yawe vile anataka yawe ringtone ukimemuita Mungu we hajafika umemlilia Mungu we akuhurumie umepigwa hadi ukaenda chini hauwezi inuka unaonewa sana na kukanyagiwa umefika mwisho we eeh gloria sasa surrender Mungu yuko nawe tena karibu sana dada we acha vita upiganiwe acha mizigo ubebewe siku yako itafika basi wacha iwe basi wacha sasa iwe vile Mungu anataka iwe mapenzi yake yawe vile anataka yawe basi wacha sasa iwe vile Mungu anataka iwe mapenzi yake yawe vile anataka yawe

Wacha Iwe – Basi Wacha Sasa Iwe.mp3

Wacha Iwe – Basi Wacha Sasa Iwe.video.mp4 YouTube

 

Hits: 2

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Related Post