Sasa Narudi

Lyrics Of The Song Sasa Narudi

Song ID 1068

nimetembelea mbali sasa narudi nilipotea dhambini sasa narudi narudi narudi kutoka mbali sasa unikaribishe Bwana narudi nimepoteza miaka mingi sasa narudi tena nazitubu dhambi sasa narudi nimechoka na dhambi Bwana sasa narudi neno lako naamini sasa narudi nimevunjika siwezi sasa narudi nipate nguvu na amani sasa narudi

Sasa Narudi.mp3

Sasa Narudi.video.mp4 YouTube

 

Hits: 27

Leave a Reply

Related Post