Ibada Lyrics ibada_lyrics Panda Milimani

Panda Milimani

Lyrics Of The Song Panda Milimani

Song ID 1766

panda milimani x2 shuka mabondeni x2 shika hili neno neno la Bwana neno la wokovu neno la uzima neno la amani shika hili neno neno la Bwana neno la baraka neno la furaha neno la upendo shika hili neno neno la Bwana neno tumepata ushindi tumepata baraka tumepata shika hili neno neno la Bwana

Panda Milimani.mp3

Panda Milimani.video.mp4 YouTube

 

Hits: 1

Leave a Reply

Related Post