Ibada Lyrics ibada_lyrics Twendeni Tuingie Kwake

Twendeni Tuingie Kwake

Lyrics Of The Song Twendeni Tuingie Kwake

Song ID 928

twendeni tuingie kwake kwa nyimbo nzuri za shangwe x2 sops dunia imshangilie Bwana all tumtumikie kwa furaha tumwendee kwa nyimbo za shangwe tumtumikie kwa furaha mjue Bwana wetu ni Mungu ametufanya na tuko watu wake sisi kondoo wa malisho yake tutukuze jina lake kubwa kweli Mungu wetu ndiye mwema huruma yake ni ya milele utukufu kwa baba mwenyezi na kwa mwanaye mwokozi wetu

Twendeni Tuingie Kwake.mp3

Twendeni Tuingie Kwake.video.mp4 YouTube

 

Hits: 7

Leave a Reply

Related Post