Lyrics Of The Song Twendeni kwa Bwana
Song ID 743
twendeni kwa Bwana kwa vigielegele twendeni kwa Bwana kwa shangwe na vigelegele Bwana atuita kwa nyumba ya sala mashuhuda yake yastahili imani anatutalwala kwa haki na amani njoni tumsujudu aliyetuumba kwa nyimbo za sifa tungojee uso wako tumpigie shangwe mwamba wa wokovu
Twendeni kwa Bwana.video.mp4 YouTube
Hits: 6