Ibada Lyrics ibada_lyrics Utukufu Kwa Mungu

Utukufu Kwa Mungu

Lyrics Of The Song Utukufu Kwa Mungu

Song ID 1014

utukufu kwa Mungu juu u x2 na amani iwe duniani i kwa watu wenye mapenzi mema tunakusifu tunakuabudu twakutukuza tunakuheshimu twakushukuru mfalme wa mbingu mwana wa pekee mwana wa baba unayeondoa makosa yetu utuhurumie utusikilize ku ume kwa baba unapoketi mtakatifu mkuu tuhurumie pamoja nawe roho mtakatifu ndani yake baba unatukuzwa

Utukufu Kwa Mungu.mp3

Utukufu Kwa Mungu.video.mp4 YouTube

 

Hits: 13

Leave a Reply

Related Post