Ibada Lyrics ibada_lyrics Centenary Utukufu

Centenary Utukufu

Lyrics Of The Song Centenary Utukufu

Song ID 722

tenor utukufu kwa Mungu juu mbinguni all na amani iwe kwa watu wenye mapenzi mema duniani kote tunakusifu x2 tunakuheshimu tunakuabudu tunakutukuza x2 tenor tunakushukuru Mungu kwa ajili all ya utukufu wako mkuu ee Bwana ni Mungu ndiwe mfalme wa mbinguni tenor mwenye kuondoa dhambi za dunia all utuhurumie tuhurumie maombi yetu Bwana uyapokee tenor mwenye kuketi kuume kwa baba all utuhurumie kwa kuwa ndiwe pekee yako ni mtakatifu tenor peke yako Bwana peke yako mkuu all ewe Yesu kristu pamoja naye roho mtakatifu milele yote

Centenary Utukufu.mp3

Centenary Utukufu.video.mp4 YouTube

 

Hits: 5

Leave a Reply

Related Post