Lyrics Of The Song Utukufu Juu Kwa Mungu
Song ID 117
utukufu juu kwa Mungu mbinguni na amani pote duniani tunakuheshimu tunakusifu tunakuabudu twakutukuza Bwana tunakushukuru mfalme wa mbingu mwana wa pekee mwana wa baba unayeondoa dhambi za watu utuhurumie tusikilize ku ume kwa baba unapoketi mtakatifu mkuu tuhurumie roho mtakatifu pamoja naye ndani yake baba unatukuzwa
Utukufu Juu Kwa Mungu.video.mp4 YouTube
Hits: 71