Ibada Lyrics ibada_lyrics Utukufu (Wololo)

Utukufu (Wololo)

Lyrics Of The Song Utukufu (Wololo)

Song ID 1824

utukufu kwa Mungu mbinguni wololo na amani duniani kwa watu x3 wenye mapenzi mema tunaku sifu twakuheshimu twakuabudu twakutukuza twakushukuru mfalme wa mbingu mwana wa pekee mwana wa baba unayendoa makosa yetu tuhurumie tusikilize kuume kwa baba unapoketi mtakatifu mkuu tuhurumie pamoja na roho mtakatifu ndani yake baba unatukuzwa Mungu mmoja anayeishi na kutawala milele yote

Utukufu (Wololo).mp3

Utukufu (Wololo).video.mp4 YouTube

 

Hits: 4

Leave a Reply

Related Post