Huniachi

Lyrics Of The Song Huniachi

Song ID 1292

umeahidi wewe Bwana huniachi hadi mwisho wa dahari ulisema huniachi wewe ni Mungu uliye mwaminifu siku zote nipitiapo maji mengi au moto huniachi unalijua jina langu ewe Bwana huniachi unatengeneza njia hata mito kule jangwani wewe ndiwe alpha na omega huniachi uliwalinda wana israeli kule jangwani ukamtoa danieli kutoka tundu la simba wewe huwainua na wanyonge siku zote watuepusha na hatari kila siku usifiwe marafiki nao wanaweza nigeuka mara kwa mara maadui wanizunguka nitaishi kwa ahadi yako Bwana huniachi huniachi

Huniachi.mp3

Huniachi.video.mp4 YouTube

 

Hits: 1

Leave a Reply

Related Post