Ibada Lyrics ibada_lyrics Baba Pokea Sadaka

Baba Pokea Sadaka

Lyrics Of The Song Baba Pokea Sadaka

Song ID 3412

sop Bwana all Mungu mwenyezi baba pokea sadaka sop baba all vyote tunavyo ni kwa mapenzi yako mkate ni mwili wako baba pokea sadaka divai ni damu yako baba pokea sadaka mkate zao la ngano divai ni mzabibu mazao ya shamba letu nijasho la kazi zetu na fedha za mifukoni mavuno ya kazi zetu mawazo na nafsi zetu vyote hivyo ni mali yako kwa nyoyo tunatolea twaomba uzibariki

Baba Pokea Sadaka.mp3

Baba Pokea Sadaka.video.mp4 YouTube

 

Hits: 6

Leave a Reply

Related Post