Ibada Lyrics ibada_lyrics Liko Lango Moja Wazi – Lango ndiye Yesu Bwana

Liko Lango Moja Wazi – Lango ndiye Yesu Bwana

Lyrics Of The Song Liko Lango Moja Wazi – Lango ndiye Yesu Bwana

Song ID 3970

liko lango moja wazi ni lango la mbinguni na wote waingiao watapata nafasi Yesu ndiye lango hili hata sasa ni wazi kwa wakubwa na wadogo tajiri na maskini hili ni lango la raha ni lango la rehema kila mtu apitaye hana majonzi tena tukipita lango hili tutatua mizigo tuliochukua kwanza tutavikwa uzima

Liko Lango Moja Wazi – Lango ndiye Yesu Bwana.mp3

Liko Lango Moja Wazi – Lango ndiye Yesu Bwana.video.mp4 YouTube

 

Hits: 10

Leave a Reply

Related Post