Ibada Lyrics ibada_lyrics Mtakatifu – Naleta sadaka za sifa kwako Bwana

Mtakatifu – Naleta sadaka za sifa kwako Bwana

Lyrics Of The Song Mtakatifu – Naleta sadaka za sifa kwako Bwana

Song ID 1749

sitaabudu miungu mingine iliyo na mifano yeyote sitapiga magoti yangu nisujudu nitakusanya sadaka zangu ziwe manukato kwa Yesu astahili sifa x2 naleta sadaka za sifa kwako Bwana heshima na mamlaka zipokee mtakatifu matakatifu nakuita mtakatifu oh Yesu wewe mtakatifu pokea sifa na utukufu na heshima Bwana oh Yesu wewe mtakatifu

Mtakatifu – Naleta sadaka za sifa kwako Bwana.mp3

Mtakatifu – Naleta sadaka za sifa kwako Bwana.video.mp4 YouTube

 

Hits: 17

Leave a Reply

Related Post