Ibada Lyrics ibada_lyrics TENDA WEMA lyrics by Ringtone ft Christine Shusho

TENDA WEMA lyrics by Ringtone ft Christine Shusho

Lyrics Of The Song TENDA WEMA lyrics by Ringtone ft Christine Shusho

Song ID 860

tenda wema nenda zako usisahau Mungu anaona siku ya kukumbukwa itafika yeye yeye yeye atakulinda tenda wema nenda zako usisahau Mungu anaona siku ya kukumbukwa itafika mayatima umesomesha sana kwenye shida umesaidia wote wenye njaa umewapa chakula nguo zako umepeana zote hakuna anayetambua haya ambayo umetenda kwote sasa naona inakupa worry nakuomba wee usijali aliyekuita anaona yote atabariki ona siku zote aliwaponya wagonjwa wao ni Yesu huyo akafufua wafu wao ni Yesu huyo mwisho akamwita pepo huyo oooh wewe si wa kwanza na hautakuwa wa mwisho Yesu katukanwa sembuse mwanadamu tenda wema nenda zako weee usigonje shukurani wee tenda wema nenda zako weee usigonje shukurani wee utawasomesha wajue kizungu wakutusi utawalisha washibe wakupige wewe tenda mema wewe tenda mema tu wewe tenda mema wewe tenda mema tu

TENDA WEMA lyrics by Ringtone ft Christine Shusho.mp3

TENDA WEMA lyrics by Ringtone ft Christine Shusho.video.mp4 YouTube

 

Hits: 1

Leave a Reply

Related Post