Ibada Lyrics ibada_lyrics Tenda Miujiza – Mwaka huu usipite bila kutenda Muujiza

Tenda Miujiza – Mwaka huu usipite bila kutenda Muujiza

Lyrics Of The Song Tenda Miujiza – Mwaka huu usipite bila kutenda Muujiza

Song ID 435

ni kweli ndugu yangu mambo mengi yamekukumba kwa miaka nyingi leo mwambie Mungu mwaka huu usipite bila kutenda muujiza tenda muujiza tenda miujiza mwaka huu usipite bila kutenda muujiza tenda baba tenda miujiza tenda muujiza tenda miujiza usiache Mungu mwaka huu upite bila kutenda muujiza tenda baba tenda miujiza ni kweli ndugu yangu umeteseka umeonewa vya kutosha leo mwambie Yesu mwaka huu usipite bila kutenda muujiza kazini mwako umenyanyaswa na wala hauna mtetezi walio wageni wanapandishwa cheo na wewe unaachwa unastahili sema sasa kwa Yesu tenda muujiza tenda miujiza usiache Mungu mwaka huu upite umeokoka kabisa hizo tamaa zinakurudisha nyuma leo mwambie Yesu parapanda isilie bila kukupa muujiza tenda muujiza tenda miujiza usiache Mungu mwaka huu upite

Tenda Miujiza – Mwaka huu usipite bila kutenda Muujiza.mp3

Tenda Miujiza – Mwaka huu usipite bila kutenda Muujiza.video.mp4 YouTube

 

Hits: 2

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Related Post