Ibada Lyrics ibada_lyrics Mwambie anakuangalia wewe

Mwambie anakuangalia wewe

Lyrics Of The Song Mwambie anakuangalia wewe

Song ID 3442

mwambie mwambie mwambie shida shida za dunia zinakuhaNgaisha watu unaowatazamia wanakuzungusha hakuna msaada kamili utapata kwao ni bora uachane nao kama umelala njaa umefukuzwa nyumba kwa sababu huna pesa sikiza nikwambie Mungu anakuangalia wewe anakutangulia mbele anakungojea wewe weweee kama una shidaa mwambiee usione hayaa mwambiee atakusikia mwambiee mwambie yeye na kama majaribu mwambiee unayopitia mwambie atakusikia mbuvi mbuvi mwambie tell him na ukipata shukuru akijibu Mungu akikawia subiri usije kufuru umelala njaa umefukuzwa nyumba kwa sababu huna pesa sikiza nikwambie yuko kwa ajili yako mwambie ushindi wako mwambie tumaini lako mwambie msaada wako mwambie mwambieeeeeeeeeeee

Mwambie anakuangalia wewe.mp3

Mwambie anakuangalia wewe.video.mp4 YouTube

 

Hits: 9

Leave a Reply

Related Post