Ibada Lyrics ibada_lyrics WANIFANYA NING’ARE lyrics by Christine Shusho

WANIFANYA NING’ARE lyrics by Christine Shusho

Lyrics Of The Song WANIFANYA NING’ARE lyrics by Christine Shusho

Song ID 2892

aah damu ya Yesu imenifanya ningare umenifanya ningare 2 Yesuu umenifanya ningare 2 Yesuu wewe waitwa nuru eti nuru ya watu ukiingia kwangu mi nangaraa ndani ya hiyo nuru eti kuna uzima ukiingia kwangu nina uzimaa uso wake Yesu aliYesura yake Mungu umeingia kwangu mi nangaraa nuru wa injili utukufu wake christo umeingia kwangu mi nangaraa inuka uangazee nuru yako imekuja utukufu wa Bwana umekuzukia wee mataifa watakujia wafalme watakuja utukufu wa Bwana umekuzukia wee 2

WANIFANYA NING’ARE lyrics by Christine Shusho.mp3

WANIFANYA NING’ARE lyrics by Christine Shusho.video.mp4 YouTube

 

Hits: 3

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Related Post