Ibada Lyrics ibada_lyrics Umenifanya Ning’are Ninang’ara

Umenifanya Ning’are Ninang’ara

Lyrics Of The Song Umenifanya Ning’are Ninang’ara

Song ID 1510

ah damu ya Yesu imenifanya ningare umenifanya ningare umenifanya ningare ooh Yesu umenifanya ningare Yesu wee umenifanya ningare ninangara wewe waitwa nuru eti nuru ya watu ukiingia kwangu mi nangaraa ndani ya hiyo nuru eti kuna uzima ukiingia kwangu nina uzimaa uso wake Yesu aliYesura yake Mungu umeingia kwangu mi nangaraa nuru wa injili utukufu wake christo umeingia kwangu mi nangaraa inuka uangazee nuru yako imekuja utukufu wa Bwana umekuzukia wee mataifa watakujia wafalme watakuja utukufu wa Bwana umekuzukia wee

Umenifanya Ning’are Ninang’ara.mp3

Umenifanya Ning’are Ninang’ara.video.mp4 YouTube

 

Hits: 4

Leave a Reply

Related Post