Lyrics Of The Song Msifuni Yesu Ndiye Mkombozi
Song ID 2445
msifuni Yesu ndiye mkombozi imbeni ya pendo zake kuu sujuduni malaika mlioko jina lake liwe na sifa kuu kama vile mchunga uchungavyo vivyo sisi kutwa atachunga msifuni mlio wake watoto msifuni aliye mchunga msifuni Yesu ndiye mkombozi akateswa tupate ongoka ndiye mwamba dhamana ya kuokoka sujuduni kwake muangikwa Yesu aliyeudhiwa na hamu kwa pendo za baba yake Mungu aliyefyolewa na kusulubiwa msifuni ndilo letu fungu msifuni Yesu ndiye mkombozi shindukeni enyi malango juu Bwana Yesu tangu milele mwokozi mvikeni taji ni yake tu atakuja kuitawala nchi Yesu mwombezi wetu wa Mungu msifuni ni mfalme wa salama ndiye kweli mwana wake Mungu
Msifuni Yesu Ndiye Mkombozi.mp3
Msifuni Yesu Ndiye Mkombozi.video.mp4 YouTube
Hits: 3