Ananijali

Lyrics Of The Song Ananijali

Song ID 114

nimeomba tena sio mara moja kwa roho na kwa kweli mbali sijapata majibu yangu kuyaona nimeomba tena sio mara moja kwa roho na kwa kweli mbali sijapata majibu yangu kuyaona adui shetani mwongo asema ya kwamba mwenyezi Mungu yeye hanijali mbali siwezi sitomkubali niyayo hakikisho ya kweli ninajua ananijali ananijali sitokubali kuzama kwenye maji ananipenda yeye ni mwema aaaaaaaaah ni za dunia zangu hizi shida hanitanizuia kukutumikia nitafuata mimi hiyo njia ya kweli na uzima kwani ulisema yote yamekwisha sitababaishwa ninajua yatapita kwani baada ya usiku giza ninayo hakikisho asubuhi itafika ananijali ananijali sitokubali kuzama kwenye maji ananipenda yeye ni mwema aaaaaaaaah oh oh oh oooooh adui shetani mwongo asema ya kwamba mwenyezi Mungu yeye hanijali mbali ulisema yote yamekwisha sitababaishwa ninajua yatapita ananijali ananijali sitokubali kuzama kwenye maji ananipenda yeye ni mwema aaaaaaaaah ooh yeah ananijali ananijali sitokubali kuzama kwenye maji ananipenda yeye ni mwema aaaaaaaaaaaah yeh ananijali ananijali sitokubali kuzama kwenye maji ananipenda yeye ni mwema aaaaaaaaaah yeh aaah yeh yeih yeih yeih yeih yeih yeh yeh yeh yeh yeh yeh yeh ooh yeih yeih yeih yeh yeh yeh yeh yeh

Ananijali.mp3

Ananijali.video.mp4 YouTube

 

Hits: 2

Leave a Reply

Related Post