Ibada Lyrics ibada_lyrics Bado nangoja

Bado nangoja

Lyrics Of The Song Bado nangoja

Song ID 833

mara mingi moyo unakataa a lot of times my heart fails me hata damu unashindwa kusukuma it fails even to pump blood nikiwaza mengi nimepitia when thinking of what i have been through ila imani ndio inanisukuma it is only faith that pushes me on bado nangoja i am still waiting x4 napata kizunguzungu sana i am always faint ninapata kizunguzungu i am faint sometimes maisha inakuwa ngumu sana sometimes life is very hard hata nimekosa nguvu that i become faint lakini nakumbukuka ahadi zako but then i remember your promises tena nakumbuka matendo yako i also remember your work uko mwaminifu ukisema unatenda you are faithful to do what you promised wewe ni mwaminifu kwa ahadi zako you are faithful to your promises zile baraka zangu Bwana Lord my blessings promised to me zile baraka zangu bado nangoja i am still waiting for my blessings na zile baraka zangu Bwana Lord my blessings zile baraka zangu bado nangoja i am still waiting for my blessings na zile ahadi zangu Bwana those promises made to me Lord na zile ahadi zangu bado nangoja i am still waiting for those promises zile zile those those shughulika na hali yangu look after my health nimelala sakafuni i have slept on the floor kwenye baridi mateso mengi there is a lot of suffering in the cold shughulika na hali yangu najua mwokozi look after my heart you know it my savior uje mapema wala huchelewi come quickly you do not tarry nimehustle haswa i have hustled hard nimetokwa jasho jasho nikitegea i have sweated while waiting tena kama Godi tena kama esta just like and just like esther baba nakutegemea Mungu nakutegemea father i depend on you God i depend on you tegemeo la moyo wangu ni wewe Yesu Jesus you are the one my heart depends on tumaini la moyo wangu ni wewe kristu christ you are the hope of my heart nakungojea i wait for you x4

Bado nangoja.mp3

Bado nangoja.video.mp4 YouTube

 

Hits: 3

Leave a Reply

Related Post