Lyrics Of The Song Bado Nasimama
Song ID 2477
bado nasimama bado naendelea bado najikaza nifike kule bila nehema na rehema zako ningekuwa wapi mimi bila upendo na fadhili zako maisha yangu yangekuwa bure kwa wema wako kanisimamisha na imani yangu ukaiweka salama kama si wewe mwamba wa wokovu wangu nisingeweza ningeangamia nainua macho yangu kwako wewe baba yangu msaada wangu utatoka wapi msaada wangu u katika Bwana hasinzii anilindaye haniachi mimi niteleze anipa nguvu na uwezo wake ili mimi nifike kule nifike kule bado nasimama bado naendelea bado najikaza nifike kule x6 still standing
Bado Nasimama.video.mp4 YouTube
Hits: 2