Ibada Lyrics ibada_lyrics BADO NASIMAMA Lyrics by Kambua

BADO NASIMAMA Lyrics by Kambua

Lyrics Of The Song BADO NASIMAMA Lyrics by Kambua

Song ID 826

bado nasimama bado naendelea bado najikaza nifike kulee 2 bila neema na rehema zako ningekuwa wapi mimi bila upendo na fadhili zako maisha yangu yangekuwa bure kwa wema wako kanisimamisha na imani yangu ukaiweka salamaa kama si wewe mwamba wa wokovu wangu nisingeweza ningeangamia nainua macho yangu kwako ewe baba yangu msaada wangu utatoka wapi msaada wangu u katika Bwana asinzii anilindae aniachi mimi nitelezee uuuhh anipa nguvu na uwezo wake ili mimi nifike kule nifike kuleee

BADO NASIMAMA Lyrics by Kambua.mp3

BADO NASIMAMA Lyrics by Kambua.video.mp4 YouTube

 

Hits: 2

Leave a Reply

Related Post