Ibada Lyrics ibada_lyrics Kutoka Kwa Moyo Wangu

Kutoka Kwa Moyo Wangu

Lyrics Of The Song Kutoka Kwa Moyo Wangu

Song ID 2888

oh mapenzi ya msalabani ni mapenzi ya baba yangu miaka elfu mbili zilizopita hiyo siku baba kabla jua halijazama kabla giza halijatanda pale milimani pale msalabani katika misumari kalipa yote maishani baada ya mapigo na matusi kanisamehe mwenye dhambi oh oh ooh kutoka kwa moyo wangu ibada yangu ikufikie kwa moyo wangu nyimbo zangu zikuinue kutoka kwa moyo wangu ibada yangu ikufikie kwa moyo wangu nyimbo zangu zikuinue kama si we kunifia basi ningeitwa nani kama sio kwa damu yako basi ningetakasika aje kama sio we Mungu wangu mimi ningeishi vipi ulikufa ukafufuka ili nipate uzima wa milele nakuinua uishiye pokea sifa kwa maana wewe mimi sina my God because of your love i am where i am today because of your love i dont know even what i have to face because of your love you died for my debts to pay mapenzi yasiyokuwa na kifani kwa ajili ya mapenzi mabaya hayahesabiki mapenzi ya Yesu kwangu yamenitengeneza jinsi nilivyo oh ni mapenzi ya Yesu kwangu ft jemimmah thiongo

Kutoka Kwa Moyo Wangu.mp3

Kutoka Kwa Moyo Wangu.video.mp4 YouTube

 

Hits: 1

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Related Post