Ibada Lyrics ibada_lyrics Benediction Song

Benediction Song

Lyrics Of The Song Benediction Song

Song ID 922

tantum ergo sacramentum veneremur cernui et antiquum documentum novo cedat ritui praestet fides supplementum sensuum defectui genitori genitoque laus et iubilatio salus honor virtus quoque sit et benedictio procedenti ab utroque compar sit laudatio amen nitachezacheza nitakwenda kwa shangwe na vigelegele niingie nyumbani mwa Bwana Mungu wangu nitacheza nitaruka nitaimba wimbo ule mtamu baba njooni mama njooni tufurahi mbele za Mungu wetu x2 njooni nyote wazee vijana na watoto shangilieni leo nyumbani mwake Bwana nitatangaza sifa zako Mungu mwenyezi kwenye kusanyiko nitakuimbia wewe nitasema asante kwako mola rabuka kwa ukarimu wako usio na kifani nitatoa shukrani zangu kwako muumba nitakushukuru leo kesho na daima

Benediction Song.mp3

Benediction Song.video.mp4 YouTube

 

Hits: 3

Leave a Reply

Related Post