Lyrics Of The Song Chaguo Lako
Song ID 3498
huyo ni chaguo lako chaguo lako huyo ni chaguo lako chaguo lako huyo ni chaguo lako chaguo lako umeomba kwa miaka nyingi umetafuta kila mahali leo umepata wako ambaye ni chaguo lako huyoo ni chaguo lako alizaliwa kwa ajili yako ameumbwa kwa ajili yako huyoo ni chaguo lako huyo ni chaguo lako huyo ni chaguo lako huyoo ni chaguo lako chaguo lako huyoo ni chaguo lako chaguo lako huyo ni chaguo lako chaguo lako hatakama ni mrefu hatakama ni mfupi hatakama ni mnene hatakama ni mwembamba huyo ni chaguo lako huyoo ni chaguo lako hatakama ni mweusi hatakama ni mweupe huyoo ni chaguo lako huyo ni chaguo lako huyoo ni chaguo lako chaguo lako huyoo ni chaguo lako chaguo lako huyo ni chaguo lako chaguo lako huyo ni chaguo lako chaguo lako nyumbani mwenyu iwe amani usiwe uwanja wa mapambano kila mara mpembelezane kila mara muombeane huyo ni chaguo lako tangulizeni Bwana Yesu atawale maisha yenyu huyoo ni chaguo lako huyo ni chaguo lako huyo ni chaguo lako neno la Mungu linasema mwanamke atamlinda mume wake kwa muombe nawe tembea na mumeo ukimlinda kwa maombi kila siku muombe kila siku mubariki nyumba yenyu iwe baraka huyo ni chaguo lako chaguo lako chaguo lako chaguo lako msisikie la walimwengu wekeni pamba masikioni ya walimwengu yatawapotosha ya walimwengu yatawachanganya ya walimwengu yatawachafua mwiteni Yesu awatale mwiteni Mungu atawale huyo ni chaguo lako huyo chaguo lako huyo chaguo lako
Hits: 11