Tumekuja

Lyrics Of The Song Tumekuja

Song ID 115

tumekuja tumekuja nyumbani mwako kulitukuza jina lako na kukwabudu tumekuja nyumbani mwako kulitukuza jina lako na kukwabudu tumekuja nyumbani mwako na kukwabudu wewe kukwabudu maana ndiwe kristo Bwana tukasahau nafsi zetu tukakuwaze wewe tu na kukwabudu tukakuwaze wewe tu na kukwabudu tukasahau nafsi zetu tukakuwaze wewe tu na kukwabudu wewe sskukwabudu maana ndiwe kristo Bwana wewe ni mtakatifu wangu ninasimama mbele zako na kukwabudu wewe ni mtakatifu wangu ninasimama mbele zako na kukwabudu wewe ni mtakatifu wangu nasimama mbele zako na kukwabudu wewe kukwabudu maana ndiwe kristo Bwana maana ndiwe kristo Bwana 2 kristo Bwana 5

Tumekuja.mp3

Tumekuja.video.mp4 YouTube

 

Hits: 4

Leave a Reply

Related Post