Lyrics Of The Song HAIYE!
Song ID 458
nitamwimbia Bwana kwani yeye ni mwema yeye ni mwema x2 nitamsifu yahweh kwani yeye ni mwema yeye ni mwema x2 nitamsifu Bwana kwani yeye ni Mungu yeye ni mwema x2 nitamsifu yahweh kwani yeye ni mwema yeye ni mwema x2 yahweh x2 hakuna mweza yote kama yeye yahweh x2 dunia inamshangilia haiye nitamwimbia Bwana kwani yeye ni mwema yeye ni mwema x2 nitamsifu yahweh kwani yeye ni mwema yeye ni mwema x2 nitamsifu yahweh kwani yeye ni jehovah yeye ni mwema x2 nitamuabudu yahweh kwani yeye ni Mungu wangu yeye ni mwema x2
Hits: 26