Ibada Lyrics ibada_lyrics Inazidi kunyesha

Inazidi kunyesha

Lyrics Of The Song Inazidi kunyesha

Song ID 269

Mungu wangu anapenda my God loves maskini na tajiri ana penda penda both the rich and the poor he loves ndio maana mi na deka that is why i am proud niko mikononi mwake for i am in his hands kila kitu kiko better and everything is better ibilisi ananyeta the devil obstructs kuna watu wakicheki unabarikiwa sana wanateta there are people who backbite when they see you blessed anazidi kuleta mvua ya baraka na ma better he continues to rain blessings and good things inazidi kunyesha continue to rain repeat aisifuye mvua imemnyea whoever praises the rain has been rained on namsifu juu amenitendea i praise him because he has done much for me maajabu maajabu awesome things amazing things ata wewe ukimkujia even you if you come to him najua atakutendea maajabu i know he will do awesome things for you maajabu maajabu awesome things amazing things kuna wenye dhambi wengine takatifu there are sinners and the righteous jua likiwaka linawawakia wote when the sun shines it shines on all wengine janja janja wengine waaminifu others are cunning others faithful mvua ikinyesha inawanyeshea wote when it rains it rains on them all repeat Mungu wangu anapenda penda penda penda my God loves loves loves na sa ndio maana mi na deka deka deka that is why i am proud proud proud Mungu wangu anapenda deka penda deka my God loves proud love proud ananipenda na deka he loves me so i am proud ukimuita anacome through he comes through when you call him ndio maana namsifu that is why i praise him maombi anajibu he answers prayers

Inazidi kunyesha.mp3

Inazidi kunyesha.video.mp4 YouTube

 

Hits: 2

Leave a Reply

Related Post