Lyrics Of The Song Jitayarishe Ndugu Yangu
Song ID 1815
jitayarishe ndugu yangu kumpokea mwokozi Mungu wangu aje kwako jitayarishe ndugu yeye atakaye kula mwili wangu kweli na kuinywa damu yangu mimi yeye atapata uzima wa milele kweli akasema Bwana mwokozi roho yangu iwe hekalu ya roho mtakatifu usikubali yule muovu amfukuze rohoni ndimi Bwana Mungu wako sasa nipokee sasa yese anasema kwako ewe ndugu
Jitayarishe Ndugu Yangu.video.mp4 YouTube
Hits: 169