Lyrics Of The Song Mfalme mwema mwaminifu
Song ID 3309
mfalme mwema mwaminifu baba mweza yote una nguvu haushindwi pokea utukufu all mfalme mwema mwaminifu baba mweza yote una nguvu haushindwi pokea utukufu all twakupa heshima na sifa zote ewe Mungu umetukuka twakupa heshima na sifa zote ewe Mungu umetukuka mtakatifu mtakatifu Bwana wa majeshi dunia yote imejawa na utukufu wako twakupa heshima na sifa zote ewe Mungu umetukuka
Mfalme mwema mwaminifu.video.mp4 YouTube
Hits: 11