Ibada Lyrics ibada_lyrics Mfalme mwema mwaminifu Bwana Umetukuka – Mtakatifu

Mfalme mwema mwaminifu Bwana Umetukuka – Mtakatifu

Lyrics Of The Song Mfalme mwema mwaminifu Bwana Umetukuka – Mtakatifu

Song ID 2856

leader mfalme mwema mwaminifu baba mweza yote una nguvu haushindwi pokea utukufu all mfalme mwema mwaminifu baba mweza yote una nguvu haushindwi pokea utukufu all twakupa heshima na sifa zote ewe Mungu umetukuka twakupa heshima na sifa zote ewe Mungu umetukuka mtakatifu mtakatifu Bwana wa majeshi dunia yote imejawa na utukufu wako twakupa heshima na sifa zote ewe Mungu umetukuka

Mfalme mwema mwaminifu Bwana Umetukuka – Mtakatifu.mp3

Mfalme mwema mwaminifu Bwana Umetukuka – Mtakatifu.video.mp4 YouTube

 

Hits: 6

Leave a Reply

Related Post