Ibada Lyrics ibada_lyrics Yesu Kanikuta Jangwani

Yesu Kanikuta Jangwani

Lyrics Of The Song Yesu Kanikuta Jangwani

Song ID 1107

Yesu kanikuta gizani akasema kimbilia yerusaleme sops mimi kipofu mauti mimi kipofu sioni kulikuwa kukapamba nikamuona Bwana wangu others mimi ni kipofu mimi mauti mimi ni kipofu mimi sioni kulikuwa giza kukapambazuka nikamuona Bwana wangu natamani mji ule yerusaleme kuna nuru kuna raha dhambi zangu matendo yangu ni maovu tazameni mslabani sops upindo wa nguo yako upindo wa nguo yako uniguze moyo wangu nitaimba sifa zako others upindo wa nguo yako nguo yako safi upindo wa nguo yako nguo yako nzuri uniguze moyo moyoni mwangu nitaimba sifa zako watakatifu wa moyo tumsifuni Bwana mwenye nchi na mbingu twende huko nchi ya mbali ya kanani ndiko tutaishi milele sops fimbo yake huyo musa fimbo yake huyo musa nchi ile ya misiri tulimwona mwenye enzi others fimbo yake musa ilituokoa fimbo yake musa ilituongoza nchi ya misiri nchi ya farao tulimwona Bwana mwenye enzi

Yesu Kanikuta Jangwani.mp3

Yesu Kanikuta Jangwani.video.mp4 YouTube

 

Hits: 69

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Related Post