Mke Mwema

Lyrics Of The Song Mke Mwema

Song ID 2223

hapo mwanzo Mungu alimwumba adamu bustani ya edeni aitunze baadae Mungu aliona sio vyema adamu awe peke yake akampa mke mwema hapo mwanzo oooh mke mweema anatoka kwa Bwana nimemwomba Mungu nangojea mke mweema anatoka kwa Bwana nimemwomba Mungu nangojea mke mwema aah majukumu yananizidi jamani nachoka kazi za ndani haziishi mke sina nimeshapiga deki maharagwe yaniungulia maji nimeishiwa nimeamini mwanaume bila mke hajakamilika baado

Mke Mwema.mp3

Mke Mwema.video.mp4 YouTube

 

Hits: 3

Leave a Reply

Related Post