Ibada Lyrics ibada_lyrics Naijulikane Wewe Ni Mungu

Naijulikane Wewe Ni Mungu

Lyrics Of The Song Naijulikane Wewe Ni Mungu

Song ID 3337

naijulikane wewe ni Mungu naijulikane wewe waweza naijulikane watenda mambo makuu naijulikane duniani kote niko mbele zako miguuni mwako nimenyenyekea nikutafute mahitaji yangu ninakuletea mizigo yote nakuwachia rudia ninayo imani unayaweza muweza yote unanitosha msaidizi wakati kama huu nakuamini nanyenyekea

Naijulikane Wewe Ni Mungu.mp3

Naijulikane Wewe Ni Mungu.video.mp4 YouTube

 

Hits: 15

Leave a Reply

Related Post