Ibada Lyrics ibada_lyrics NAJUA HUTANIACHA lyrics by Makena

NAJUA HUTANIACHA lyrics by Makena

Lyrics Of The Song NAJUA HUTANIACHA lyrics by Makena

Song ID 2245

nilikuwa natafuta rafiki atakaye kuwa wa kudumu nilikuwa nimekosa tumaini kwani binadamu hubadilika kama kinyonga tangu nikupate Yesu sitafuti tena upendo wako unanipa nguvu nikiwa nawe Yesu nitaogopa nani nitaogopa nini eeh chorus najua hutaniacha pawe na shida pasiwe wewe ni mwaminifu milele najua hutaniacha pawe na shida pasiwe wewe ni mwaminifu milele tena nikapata marafiki kadhaa punde shida ilipoingia nao waliondoka nikalia mpaka nilipokumbuka kuwa kuna rafiki asiyebadilika tangu nikupate Yesu sitafuti tena upendo wako unanipa nguvu nikiwa nawe Yesu nitaogopa nani nitaogopa nini eeh murungu baba imbijie untiintiga nontu nuiji ntiumba niinka inkumenya utiintiga kwiina thina na gutinayo baba ni mwitikikua magiita jonthe inkumenya utiintiga kwiina thina na gutinayo baba ni mwitikikua magiita jonthe

NAJUA HUTANIACHA lyrics by Makena.mp3

NAJUA HUTANIACHA lyrics by Makena.video.mp4 YouTube

 

Hits: 7

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Related Post