Ibada Lyrics ibada_lyrics Nani Kama Yahweh

Nani Kama Yahweh

Lyrics Of The Song Nani Kama Yahweh

Song ID 1025

nani kama yahweh mshindi wa washindi nani kama yahweh mshindi wa washindi nani kama yahweh tegemeo langu nani kama yahweh mfariji wangu na ndio maana tunasema hakuna mwingine chini na juu ohh hakuna mwingine kama yahweh nani kama yahweh mshindi wa washindi nani kama yahweh mfalme wa wafalme nani kama yahweh Bwana wa maBwana nani kama yahweh simba wa yuda na ndio maana tunasema nani kama yahweh jehovah shama mponyaji si mwengine ila jehovah raphah kimbilio si mwengine ila ni wewe nisi hapa tumefika twasema wewe ebeneza na ndio maana tunasema

Nani Kama Yahweh.mp3

Nani Kama Yahweh.video.mp4 YouTube

 

Hits: 47

Leave a Reply

Related Post