Lyrics Of The Song Nikupe Nini Mungu Wangu
Song ID 1085
nikupe nini Mungu wangu nikupe nini we mwokozi nikupe nini Mungu wangu cha kukupendeza x2 nakutolea mkate toka mmea wa ngano nakutolea divai ni tunda la mzabibu ninakuomba mwokozi nifanyie msamaha na uni pokee mema unayoyatenda nitafanya nini mimi nikurudishie kila nitakacho shika mbona bado ni kidogo fadhili unazotenda kwangu mimi naogopa ninakuomba mwokozi mchana hata usiku wewe wanisimamia na nikiwa safarini waniepusha ajali na nikiwa kwenye shida Bwana wanisaidia na nikiwa na tatizo Bwana unanifariji kama njiani sioni wewe unaniongoza na nikipotea njia kwako unanirudisha nikiingia dhambini Bwana unanirudisha nikitubu dhambi zangu Bwana wanihurumia
Nikupe Nini Mungu Wangu.video.mp4 YouTube
Hits: 24