Ibada Lyrics ibada_lyrics Nitaimba sifa Zako – Nitatangaza

Nitaimba sifa Zako – Nitatangaza

Lyrics Of The Song Nitaimba sifa Zako – Nitatangaza

Song ID 1788

oh ninakutamani sana nitatangaza matendo yako dunia yote ikujue adonai hakuna Mungu kama wewe umetukuka dunia yote umenitoa mbali sana umehifadhi roho yangu mimi nikusifu naimba emanueli nakuabudu unastahili nitaimba sifa zako umbali umenileta ebeneza wewe ndiye Mungu nitaimba sifa zako hosanna walio uhai wakujue umbali umenileta ebeneza wewe ndiye Mungu nitaimba sifa zako hosanna walio uhai wakujue umbali umenileta ebeneza wewe ni Mungu umenitoa mbali sana jina lako jiree limeninasua kwenye magonjwa mikosi pia hata umasikini umevunja laana zote umenipa heshima uhai bure mwamba imara hutingiziki wewe ndiye Mungu nitaimba sifa zako hosanna walio uhai wakujue umbali umenileta ebeneza wewe ndiye Mungu nitaimba sifa zako hosanna walio uhai wakujue umbali umenileta ebeneza wewe ndiye Mungu pokea sifa zangu Bwana umeokoa nafsi yangu umejitwika hayaa nipate heshima uhai wako ukatoa niishi yahweh nakuabudu nitaimba sifa zako nitatangaza wema wako hosanna wenye mataifa wakujue wema na mwaminifu

Nitaimba sifa Zako – Nitatangaza.mp3

Nitaimba sifa Zako – Nitatangaza.video.mp4 YouTube

 

Hits: 4

Leave a Reply

Related Post