Ibada Lyrics ibada_lyrics Ebenezer Nani Kama Wewe

Ebenezer Nani Kama Wewe

Lyrics Of The Song Ebenezer Nani Kama Wewe

Song ID 1910

moyoni mwangu yahweh nashukuru sana kwa wema wako na fadhili zako kwangu za milele matendo yako maishani mwangu ya tisha jehovah natamani nifanane nawe messiah siku zote usiye badilika na wakati elohim u mwema ebenezer nani kama wewe nainama mbele zako wewe ni Mungu ebenezer nani kama wewe nainama mbele zako wewe ni Mungu natamani nifanane nawe usiyebadilika uaminifu wako adonai wa milele na milele toka utotoni mwangu umekuwa mwema sana umbali umenileta yahweh hakuna mwingine kama wewe kwa nehema yako adonai umeihifadhi roho yangu wengi tulizaliwa nao na wengi sasa wamefariki wengine hawakujui yahweh Mungu mwenye enzi na uzima lakini kwa nehema yako shamaah umenipa uhai niishi wewe uliye nena na samweli hutamdharau mwanadamu usiye tazama maumbile yake wewe Mungu wa haki umbali umenileta yahweh ebeneezer wewe ndiye Mungu Mungu mwenye enzi na uzima uinuliwe milele yote umekuwa mwema imanueli mwaminifu wewe ndiwe pumzi ya imani yangu nakuabudu umekuwa mwema imanueli mwaminifu wewe ndiwe pumzi ya imani yangu nakuabudu

Ebenezer Nani Kama Wewe.mp3

Ebenezer Nani Kama Wewe.video.mp4 YouTube

 

Hits: 9

Leave a Reply

Related Post