Ibada Lyrics ibada_lyrics Nitaimba sifa zako

Nitaimba sifa zako

Lyrics Of The Song Nitaimba sifa zako

Song ID 2222

wakati wa majaribu Yesu aliniokoa nakunipa ushuhuda ukawa wa ushindi nitaimba sifa zako na kusema wema wako nitaimba sifa zako na kusema wema wako milele wakati wa machozi Yesu atakufariji atakupa ushuhuda utakuwa wa ushindi wakati wa kuchukiwa Yesu atakupenda atakupa ushuhuda utakuwa mshindi

Nitaimba sifa zako.mp3

Nitaimba sifa zako.video.mp4 YouTube

 

Hits: 32

Leave a Reply

Related Post