Lyrics Of The Song Nitamwimbia Bwana kwani Yeye Mwema aah
Song ID 1237
nitamwimbia Bwana kwani yeye mwema aah yeye ni mwema aah yeye ni mwema nitamsifu Bwana kwani yeye ni mwema yeye ni mwema aah yeye ni mwema yahweh yahweh hakuna muweza yote kama yeye dunia inamshangilia ayee nitamwimbia Bwana kwani yeye mwema aah yeye ni mwema aah yeye ni mwema nitamsifu yeye kwani yeye ni mwema yeye ni mwema aah yeye ni mwema nitamsifu yahweh kwani fadhili zake za milele yeye ni mwema aah yeye ni mwema nitamwinua yahweh kwani yeye ni mwema yahweh yahweh hakuna muweza yote kama yeye dunia inamshangilia ayee mwambie hakuna muweza yote kama yeye dunia inamshangilia ayee
Nitamwimbia Bwana kwani Yeye Mwema aah.mp3
Nitamwimbia Bwana kwani Yeye Mwema aah.video.mp4 YouTube
Hits: 23