Ibada Lyrics ibada_lyrics Niwewe – twakushukuru Muumba ni wewe

Niwewe – twakushukuru Muumba ni wewe

Lyrics Of The Song Niwewe – twakushukuru Muumba ni wewe

Song ID 1105

uliniona nilipopotea ukaniosha mimi ukanipa uzima uliniona nikiwa mpweke ukanipa upendo sasa niko huru uliniona nilipopotea ukaniosha mimi ukanipa uzima uliniona nikiwa mpweke ukanipa upendo sasa niko huru we have come to praise your holy name today we have come to praise your holy name twakushukuru muumba vyote tulizo letu mwamba wetu niwewe twakuchezea muumba vyote tulizo letu mwamba wetu niwewe twakushukuru muumba vyote tulizo letu mwamba wetu niwewe twakuchezea muumba vyote tulizo letu mwamba wetu niwewe maishani mwetu twasema ni wewe unaye bariki unaye okoa twakukimbilia wewe twajificha kwako unaye tujali maishani mwetu twasema ni wewe unaye bariki unaye okoa twakukimbilia wewe twajificha kwako unaye tujali we have come to praise your holy name today we have come oh to praise your holy name twakushukuru muumba vyote tulizo letu mwamba wetu niwewe twakuchezea muumba vyote tulizo letu mwamba wetu niwewe twakushukuru muumba vyote tulizo letu mwamba wetu niwewe twakuchezea muumba vyote tulizo letu mwamba wetu niwewe wewe tulizo la roho zetu wewe kipenzi cha roho zetu wewe waponya nafsi zetu wewe ni mwanzo tena mwisho twakushukuru muumba vyote tulizo letu mwamba wetu niwewe twakuchezea muumba vyote tulizo letu mwamba wetu niwewe twakushukuru muumba vyote tulizo letu mwamba wetu niwewe twakuchezea muumba vyote tulizo letu mwamba wetu niwewe

Niwewe – twakushukuru Muumba ni wewe.mp3

Niwewe – twakushukuru Muumba ni wewe.video.mp4 YouTube

 

Hits: 8

Leave a Reply

Related Post