Ibada Lyrics ibada_lyrics Sina Mungu Mwingine

Sina Mungu Mwingine

Lyrics Of The Song Sina Mungu Mwingine

Song ID 1803

sina Mungu mwingine wa kutegemea mbiguni na duniani hapana mwingine sina cha kupendeza wala cha faida ila wewe Bwana wangu Mungu wa milele mwili na moyo wangu vyaweza zimia mbali Mungu ndiye nguvu za uhai wangu yeye sehemu yangu milele daima nitaingia hema yake na sifa zake kuu ni nani mwingine ajazaye roho yangu na kunipa raha kamili ni nani semeni akomboaye mwanadamu na kumshindia shetani

Sina Mungu Mwingine.mp3

Sina Mungu Mwingine.video.mp4 YouTube

 

Hits: 4

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Related Post