Lyrics Of The Song Tutoe Sadaka
Song ID 1306
bass tutoe sadaka all kwa Mungu baba aliyeumba ulimwengu mzima x2 tukumbuke kwamba ndiye aliyetupa uzima tutoe sadaka x2 tutoe kwa moyo mwema tukampe Bwana na kwa ukarimu mwema tutoe kwa moyo nazo fedha zako nenda ukampe Bwana ndugu usisite nenda ukampe Bwana chochote ulicho nacho nenda ukatoe yeye in muumba wetu ndugu ukatoe kwani vyote vyake ndugu nenda ukatoe naye Bwana Mungu wetu atakubariki
Tutoe Sadaka.video.mp4 YouTube
Hits: 55