Ibada Lyrics ibada_lyrics Twende Sote Tukatoe Sadaka Kwa Bwana

Twende Sote Tukatoe Sadaka Kwa Bwana

Lyrics Of The Song Twende Sote Tukatoe Sadaka Kwa Bwana

Song ID 3393

bass twende sote tukatoe sadaka kwa Bwana tenor twendeni all twende sote tukatoe sadaka kwa Bwana sop twende all twende tukatoe x2 all twende sote tukatoe sadaka kwa Bwana mkate na divai tunayokutolea twende tukatoe sadaka kwa Bwana na pia nafsi zetu tunazo kutolea furaha na uchungu na kiini cha ngano na tunda la mzabibu fedha za mifukoni kwako baba muumba kwa njia ya mwokozi twende tukatoe sadaka kwa Bwana pokea twakuomba ingawa ni kidogo twende tukatoe sadaka kwa Bwana twatolea kwa moyo baba usikatae twende tukatoe sadaka kwa Bwana

Twende Sote Tukatoe Sadaka Kwa Bwana.mp3

Twende Sote Tukatoe Sadaka Kwa Bwana.video.mp4 YouTube

 

Hits: 10

Leave a Reply

Related Post