Ibada Lyrics ibada_lyrics Twende Kwa Karamu

Twende Kwa Karamu

Lyrics Of The Song Twende Kwa Karamu

Song ID 392

twendeni kwa karamu Yesu atuita twendeni kwa meza yake ni meza yake Bwana imeandaliwa na chakula cha roho mwili na damu yake ni chakula cha roho ambacho kina ule uzima wa milele mwokozi alituamuru kufanya hivyo kwa makumbusho yake kufanya hivyo nasi tutatangaza kifo cha Bwana wetu tushangilie kwa ajili ya utukufu ni Yesu mtukufu

Twende Kwa Karamu.mp3

Twende Kwa Karamu.video.mp4 YouTube

 

Hits: 5

Leave a Reply

Related Post