Lyrics Of The Song Usilale
Song ID 1897
mpanzi alikwenda shambani kapanda mbegu njema alipolaala adui akaingia shambani akapanda magugu vivyo hivyo mkristo ukilala shetani huja kapanda roho chafu utukufu wa Mungu ndani yako pilepole uanze kupungua usilale shetani anatafuta nafasi adui anatafuta nafasi ya kupanda magugu moyoni mwako mkristo omba bila kukoma shetani asipande maovu ndani yako mwimbaji uwe macho omba hata kufunga shetani asipande kiburi moyoni mwako
Hits: 13